Wednesday, August 29, 2007

ASSA GRADUATION


Jumapili nilipata mualiko katika Graduation ya ASSA ni ya wasabato iliyofanyika katika ukumbi wa Perfect Vision Sinza pale nilikutana na wanafunzi wa shule mbalimbali wanotunukiwa vyeti vyao.Nilipata kukutana na wanafunzi wa Jitegemee wa vidato vya nne pichani Ni Bunuma Ngalaba mwanafunzi wa kidato cha nneB3 akiwa anatoka kupokea cheti chake.

1 comment:

Jafari said...
This comment has been removed by the author.