Thursday, August 30, 2007

GRADUATES

Katika pitapita zangu katika kuperuzi kwenye internet nilipata kukutana na website moja ambayo inawaonyesha wale wanafunzi wote waliomaliza katika shule yetu ya Jitegemee wengine wameoa na wengine wameolewa na wengi wao wapo nchi za nje wakiendeleza kitabu.Hapo juu katika picha ni Philemon Bariki aliyemaliza elimu yake ya juu mwaka 2005.
Gonga Hapa ili kupata habari zote http://graduates.com/school_member_list.asp?si=329444

No comments: