Wednesday, August 29, 2007

TUNATISHA


Juzi jumamosi kulikuwa na mechi kati ya Form 4B3 na Form 4A2 ila haikuchezwa kwa sababu timu pinzani ya Form 4A2 haikufika uwanjani na hivyo B3 wakajiondokea na ushindi Pichani ni Levi Kanyika aliyeshika mpira na Jef Mkocha aliyeshika bag jekundu na mwingine ni Festo Simkwayi wote ni wa Kidato cha nne B3.

3 comments:

Anonymous said...

hapo ni wapi na uwanja upo sehemu gani?

The Runnerz Ent said...

da jafalim unatisha kwa kazi yako noma kuliko hii ni kali ya mwaka jitahidi maana hii ni kazi za nje mwana
By green acres superstar from kinondoni

Jafari said...

Ahsante sana ndugu saady nashukuru kwa mchango wako.