Monday, November 21, 2011

Mama Kamandwa

8 comments:

Jafari said...

nikikimbuka history simsahau mama Kamandwa

Anonymous said...

nataka mdogo wangu mwenye sifa zifuatazo aje kujiunga na kidato cha nne private candidate au kwa utaratibu wowote mnaouona ni sahihi kwenu.
1] amemaliza form iv morogoro vijini nov.2010 na kapata iv div.

2] alichelewa kurisit last year intake.


JE, INAWEZEKANA KUPATA NAFASI HAPO KWENU?
JE, ADA NI TSH NGAPI KAMA ATAINGIA DARASANI???
NIJIBUNI KWA HARAKA TAFADHARI.

Jafari said...

sawa nataka nikupe jibu sahihi piga namba hii kwa msaada wa haraka +255 784 632601 ningependa nawe uache mawasiliano yko kwenye email ifuatayo jafalim@gmail.com

Anonymous said...

yeah long tym toka 2006 nimemaliza form four hapo!napamis sometimes,holla all my beloved teachers Mr Yongo,The headmaster himself mjr Mkisi,afande ismail,afande tall,Mleli,na wengine wote i mean all staffs hapo!God bless u all...u made us nn we are so proud of u!

FORTUNE said...

LOOOOOH, NIMEFURAHI SAANA KUWAONA HAWA WALIMU, WAMENIFUNDISHA FROM FORM 1-6, AM SO PROUD OF JITEGEMEE AND WALIMU WOTE MLIONIFUNDISHA, RIP MRIMI NA WENGINEO WENGI.

Anonymous said...

madan nkini huyo na kamandwa wametokelezea ile mbaya..mkama

Denis Leonard said...

Ningefurahi kujiunga na jkt sec school maeneo ya mgulani. Kinacho nitatiza sifahamu ada zao ni tsh ngapi kwa mwaka.

Naomba mnisaidie kunichambulia mpangilio wa ada kwa mwaka mzima ni tsh ngapi ?

Naitwa denis

Denis Leonard said...

mawasiliano:
thisisdenisleonard@gmail.com

www.facebook.com/thisisdenisleonard

Au 0716723146 na 0753242892

Tafadhali naomba mnisaidie nataka kufahamu ada ya hapo ni tsh ngapi ?