Friday, October 15, 2010

Tangazoooooooooo!!!!!!

SHULE YA SEKONDARI JITEGEMEE IMAEANZA KUTOA FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA NA WATAKAOTAKA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TATU NAFASI ZIPOO USAHILI UTAFANYIKA TAREHE 4 MWEZI WA KUMI NA MBILI SAA MOJA ASUBUHI

2 comments:

bakari said...

kwa bei gani fomu zinapatikana kuna mdogo wangu nataka awe kuanza kidato cha kwanza

Anonymous said...

Ada ya day jitegemee bei gani?