Tuesday, November 6, 2007

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE 20/11/2007

Head Master akionyesha picha aliyopewa kama zawadi ya wanafunzi wa kidato cha nne.
Wanafunzi wakiwa makini wakisikiliza risala.

Burudani za asili nazo zilikuwapo kama picha inavyojieleza.Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja.No comments: