Mwenye miwani ndio Mgeni rasmi wa mahafali hayo
Shekh.Gologosi na kushoto kwake ni Mkuu wa shule
Mej.Martin Mkisi.Mahafali hayo yalifanyika ndani ya shule ya Jitegemee.
Mtangazaji wa
Radio Kheri redio ya Kiislamu naye alikuwapo na alitoa nasaha kwa wanafunzi.
Kutoka kulia ni
Mikidadi Muhina,Jafari na
Ally Shekha wote ni wnafuzi wa kidato cha nne.
Shekh.Gologosi akiagana na wanafunzi baada ya kumaliza kuwaombea dua na kuwatakia mitihani mema itakayoanza tarehe 8/10/2007
No comments:
Post a Comment