Monday, September 24, 2007

GRADUATION YA WANA UKWATA

Kwenye kiti chekundu ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo na pia ni Mkuu wa shule yetu ya Jitegemee JKT Sekondari Mej. Mkisi.

Graduaters mwenye red ni Ester Daudi,Praiseglory Kileo,Pendo na Morean Magaji wote ni wa kidato cha nne Jitegemee Sekondari.
Wakati wa maakuli ulipowadia hakuna aliyesema ameshiba kila mmoja alivuta sahani yake na kujimuvuvisha kwenye meza ya chakula.
Mkuu wa shule ambaye ni mwenyekiti wa mahafali hayo akikabidhi cheti kwa gradueter Mourine Magaji.

Kila mmoja alikuwa na furaha ya namna yake hapo ni wakati wakiburudika na wimbo mzuri wa kumsifu Bwana.

3 comments:

Anonymous said...

du! Mkuu wenu wa shule inaelekea ni social sana maana anapenda sana kujimix na wanafunzi ila ndio safi.Jafari nimependa sana picha ulizopiga.
FRANK INDIA.

Jafari said...

Ahsante kwa kumwagia sifa Head Master wetu na nashukuru kwa kuzifia picha.

Anonymous said...

you are welcome guys at jiteute,, life iz gud walimu wa kutosha,,majengo usiseme,, library ni noma,,michezo ndo usiseme,, you just come and see,,!