Monday, September 24, 2007

FURAHA ISIYO NA KIFANI

Kulia ni Mourine Magaji akichekelea mpaka jino la mwisho baada ya kukabidhiwa cheti chake.Hao wengine ni marafiki zake.

1 comment:

Anonymous said...

wow!!! jamani inapendeza kwa kweli mimi mwenyewe nilifurahi kweli kipindi na graduate nikiwa mwana ukwata nimependa sana hiyo picha.
George From TZ