Sunday, August 5, 2007

Ndani ya T-shirt

Huvaliwa kila jumatano ndio siku yake.

9 comments:

Anonymous said...

Nimezivaa sana hizo nilipokuwa hapo ahsante sana ndugu jafari kwa kunikumbusha nilipotoka.

Anonymous said...

nilizani mnavaa nyingine nimesoma hapo kitambo kidogo kama kuna uwezekano tuonyeshe mazingira ya hapo kidogo.

Anonymous said...

Na vipi kaptula kwa O-level bado zipo ningependa kuona picha ya mwanafunzi aliyekuwa ndani ya proper uniform.Kazi nzuri ndugu Jafari

Anonymous said...

Well done Jafari thats a very good blogs. Nadhani umeweza kuitangaza shule yako vizuri, ila picha za wanafunzi wakiwa na uniform ya kawaida mbona hujaionyesha? Because umeonyesha ile uniform ya Jumatano na siku hizo nyingine je? But, its really a nice blog, keep it up boy. Its me your Computer Teacher Mr. Francis.

Jafari said...

Ahsante sana Mr.Fransis nitajitahidi niweke mda si mrefu.

Jafari said...

samahani nimekosea jina la mwalimu wangu lisomeke kama Mr.Francis

Anonymous said...

0mary mrope
wanafunzi wa hostel wa jitegemee wanatalajia kufanya sherehe ya kuwaaga form 4 siku ya ijumaa

Frankie said...

Ok! Omary Mrope, lakini hata wewe si Form Four sasa unaagwa unaenda wapi hasa? Mbona Bruno hajaniambia kama mtakuwa na sherehe?-Its me Mr. Francis

Anonymous said...

jigijigijooooooooooooooo!!!!!!!!! i cant reckon that this is the T shirt which i used to wear on Wednesday well m very inebriated for the work u have done jafari! thanx may God give u more dexterity. M sure we do not know @ other but i was there during ma high school in 2008 but we still miss crazy time and the ambiance of Jitegemee.
Is me felecian from university of Amsterdam.