Sunday, August 5, 2007

Ndani ya Proper Uniform

Wanafunzi wa kidato cha nne wakiwa katika picha ya pamoja nje ya shule wakisubiri usafiri kuelekea ma kwao.

3 comments:

Anonymous said...

Mhhhh Jafari hapo umenifikisha umenikumbusha enzi japo si miaka mingi sana iliyopita kama 5 hivii naitwa Frank from India

Jafari said...

Nashukuru Kaka Frank na ningeomba kama utakuwa na picha za kipindi hicho nitumie ile niweze kuziweka.

Anonymous said...

mh huyu jamaa wa mbele 2006 tumemaliza nae