Tuesday, August 14, 2007

A-LEVEL WAKIWA LAB

Wanafunzi wa Jitegemee kidato cha tano wakiwa katika maabara.Shule ina maabara kubwa na ya kisasa,Kuna maabara ya KEMIA,PHYSIKIA na BIOLOGIA na zote zikiwa na vifaa vya kutosha vya kufundushia kuanzia O-level mpaka A-level.

No comments: