Thursday, August 16, 2007

ANAYETEGEMEWA

Osward E. Mponda A.K.A OS-LEE ni mwanafunzi wa kidato cha IVB3 katika shule ya Jitegemee JKT na ni mwana kikapu anayetegemewa katika timu ya shule na ni mwenye ndoto za kuchezea timu kubwa Duniani.

1 comment:

Anonymous said...

oswad oswad sasa hivi kitengo saafi anakula bata ..afta hustlin ya elimu sasa anakula maisha kwenye kiyoyozi meen...wadogo zangu hakuna uchawi zaidi ya elimu someni