TANGAZO
UONGOZI WA SHULE YA JITEGEMEE JKT SEKONDARI, UNAPENDA KUWATANGAZIA WATU WOTE KUWA, FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2008 ZIMEANZA KUTOLEWA.FOMU ZINATOLEWA KWA BEI YA TSH.7,000/=TU.FOMU ZINAPATIKANA OFISI YA MSARIFU WA SHULE {MHASIBU}
NYOTE MNAKARIBISHWA
NYOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment