![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggM62SakckCLOv-NU_SyLWG2vFpRUOZPR0J9dzzxnEVFXgVdXQyRgLF7vnZYK3eg2eVKduXoXukUylOw1Nh1HnnNiGK4lrmTZnQQpptNx6kceRORvayd-FAuOMenA_0ZWwHroNVsEdn-51/s320/KK.jpg)
leo asubuhi majira ya saa moja hivi Msanii maarufu wa luninga hapa nchini aitwae
Steven Kanumba alitembelea shule yake ya zamani ya JITEGEMEE JKT SEC. Katika ziara yake aliwaasa wanafunzi kuwa na nidhamu njema na kuheshimu kanuni za shule na suala zima la program ya
ACADEMIC EXCELLENCY a.k.a
MKISI PROGRAM.
2 comments:
Kumbe huyo mshikaji alisoma hapo tel me Jafari alimalizia six hapo na ali score div ngapi?
yaani angejua hiyo mkisi haisaidii chochote bali inatupotezea mda we2 4m 2 wote
Post a Comment