Friday, August 10, 2007

!!MASHUJAA WA JITEGEMEE!!

Mr.Head Master akiwa katika picha ya pamoja na mashujaa wa shule yake ya Jitegemee miongoni mwa wanafunzi wa kidato cha IV waliopata Div.I & II Mtihani wa MOCK.Pia walikuwamo wana michezo wa shule.Mr.Mkisi alishakana mikono na kila mmoja wao kwa lengo la kuwapongeza.

6 comments:

Anonymous said...

Mhh safi sana picha nzuri japo inaonekena kwa mbali kidogo ila inapendeza kuona mashujaa wakiwa na sura za furaha Keep it up Jite from Frank INDIA

Frankie said...

Great! Sasa Jafari hata wewe si form four, je wewe ulipata division gani, vipi na wewe ulikuwepo kwenye hiyo picha?-Mr. Francis

Jafari said...

mhh mimi sikuwapo nilikuwa mpiga picha siku hiyo.

Anonymous said...

Ebwana unanikumbusha mbali sana maana ninaona hata wale madogo wa hostel! hongera sana mdogo wangu yaani sisi hapa nje sasa full shangwe is me felecian mpe hi bruno.

Anonymous said...

It agree, rather useful idea

Jafari said...

thanks Mr.Frank