Thursday, August 9, 2007

KANUMBA NDANI YA JITE

leo asubuhi majira ya saa moja hivi Msanii maarufu wa luninga hapa nchini aitwae Steven Kanumba alitembelea shule yake ya zamani ya JITEGEMEE JKT SEC. Katika ziara yake aliwaasa wanafunzi kuwa na nidhamu njema na kuheshimu kanuni za shule na suala zima la program ya ACADEMIC EXCELLENCY a.k.a MKISI PROGRAM.

2 comments:

Anonymous said...

Kumbe huyo mshikaji alisoma hapo tel me Jafari alimalizia six hapo na ali score div ngapi?

Anonymous said...

yaani angejua hiyo mkisi haisaidii chochote bali inatupotezea mda we2 4m 2 wote